Domingos Chohachi Nakamura

Domingos Chōhachi Nakamura (kwa Kijapani: ドミンゴス 中村長八; 2 Agosti 186514 Machi 1940) alikuwa padri mmisionari wa Kanisa Katoliki kutoka Dayosisi ya Nagasaki (Japani).

Domingos Chohachi Nakamura

Alifanya kazi kama padri kwa miaka 26 nchini Japani na miaka 17 nchini Brazili, ambako alifariki mwaka wa 1940 akiwa na sifa ya utakatifu. Sasa anatambulika kama Mtumishi wa Mungu.[1]

Marejeo

hariri
  1. 佐藤, 清太郎 (1952). 中村長八先生略伝 : 在外日本人の師表. 信友社.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.