Dominic Edmund Samuel (amezaliwa Septemba 29, 1994) ni mchezaji wa soka wa Kanada ambaye anacheza kama mlinzi wa timu Forge FC katika Ligi Kuu ya Kanada.[1] [2]

Samuel na Forge FC mwaka 2021

Marejeo

hariri
  1. "Dominic Samuel Southern New Hampshire profile". Southern New Hampshire Penmen.
  2. "Forge FC re-signs defender Dominic Samuel to multi-year deal". Canadian Premier League. Januari 13, 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dominic Samuel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.