Dominic Solanke
Wachezaji mpira wa Uingereza
Dominic Ayodele Solanke (alizaliwa 14 Septemba 1997) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu AFC Bournemouth na timu ya taifa ya Uingereza.
Solanke alianza kazi yake katika chuo cha vijana wa Chelsea, alipata namba katika kikosi cha kwanza mwezi Oktoba 2015. Baada ya msimu wa 2015-16 Vitesse kwa mkopo.
Mnamo Julai 2017 alisaini Liverpool kwa £ milioni 4, alicheza mechi 27 na kufunga mabao 14.
Mwezi Januari 2019 alihamia AFC Bournemouth.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dominic Solanke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |