Donati wa Eurea (alifariki Ugiriki, 387) alikuwa askofu bora wa Paramythia, leo Eurea, Ugiriki Kaskazini, wakati wa kaisari Theodosi I[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki[3] na Waorthodoksi[4] kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Aprili[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.