Donna Allen

Mwanaharakati na mwanauchumi wa Kimarekani.

Donna Allen (Agosti 19, 1920 - 19 Julai 1999) alikuwa mwanaharakati wa haki za binadamu, mwanahistoria, mwanauchumi nchini Marekani, na mwanzilishi wa taasisi ya Women’s Institute for Freedom of the Press.[1][2][3]

Marejeo hariri

  1. Beasley, Maurine, and Stephen Vaughn. American Journalism. Ed. Shirley Biagi. Vol. IX. N.p.: American Journalism Historians Association, 1992. Print. 3-4.
  2. Walker, Danna. Women and Media: The History of an Activist's Fight for Equality: Donna Allen and the Women's Institute for Freedom of the Press. Kolin, Germany: Lambert Academic, 2008. Print.
  3. The World Who's Who of Women. Vol. IV. England: Melrose Limited, 1978. Print
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Donna Allen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.