Dorimedonti
Dorimedonti (alifariki Şuhut, Frigia, Uturuki wa leo, karne ya 3) alikuwa Mkristo aliyeuawa kwa imani yake[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Septemba[3].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/70860
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-21. Iliwekwa mnamo 2020-09-19.
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |