Doroteo wa Aleksandria

Doroteo wa Aleksandria (alifariki Aleksandria, 373 hivi) alikuwa Mkristo wa mji huo wa Misri, ambaye aliteswa na Waario kwa kushika imani sahihi ya Kanisa Katoliki.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Oktoba[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.