Lugha za Kidravidi

(Elekezwa kutoka Dravidian languages)

Lugha za Kidravidi ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa upande wa Kusini wa Uhindi na pia katika kisiwa cha Sri Lanka. Idadi ya lugha katika familia hiyo ni takriban 80.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kidravidi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.