Dubai Desert Classic

Dubai Desert Classic ni mchuano wa utaalam wa gofu unaofanyika kila mwaka huko Dubai katika United Arab Emirates. Imekuwa sehemu ya ratiba ya European Tour tangu kuzinduliwa mwaka 1989 na ilikuwa sehemu ya kwanza ya ratiba ya European Tour kufanyiwa Mashariki ya Kati. Isipokuwa makala ya 1999 na 2000, ambayo yalifanyika katika Dubai Creek Golf & Yacht Club, imekuwa ikichezewa kwenye kozi la "Majlis katika Emirates Golf Club.

Dubai Desert Classic
Ujumbe kuhusu Mchuano huu
Mahali Falme za Kiarabu Dubai,
United Arab Emirates
Ilianzishwa 1989
Uwanja Emirates Golf Club
Par 72
Umbali 7,301
Ziara European Tour
Jinsi ya Kupata Pointi Stroke play
Pesa za Ushindani $2,500,000
Mwezi unapochezwa Januari
Rekodi ya Pointi katika Mchuano huu
Kwa Ujumla 266 Thomas Bjørn (2001)
Kwa kila Shimo -22 (kama ilivyo hapa juu)
Mshindi wa Sasa
Eire ya Kaskazini Rory McIlroy
Nembo ya Dubai Desert Classic

Tukio limebainishwa kwa kuvutia baadhi ya nyota wakubwa duniani wa gofu kwa msaada wa pesa nyingi zilizotakikana za ushiriki. Ernie Els amekuwa na mafanikio zaidi kwani ameshinda Desert Classic mara tatu. Mdhamini mkuu wa tukio hilo ni Dubal, pamoja na wadhamini-wasaidizi wakiwa pamoja na: Omega, EmiratesNBD, Golf Jumeirah Estates, CNN, Emaar, Emirates Airlines, BMW na Gulf News.

Washindi hariri

Mwaka Mshindi Pointi
Dubai Desert Classic
2009   Rory McIlroy   269 (-19)
2008   Tiger Woods  274 (-14)
2007   Henrik Stenson  269 (-19)
2006   Tiger Woods  269 (-19) PO
2005   Ernie Els  269 (-19)
2004   Marko O'Meara  271 (-17)
2003   Robert-Jan Derksen  271 (-17)
2002   Ernie Els  272 (-16)
2001   Thomas Bjørn  266 (-22)
2000   José Cóceres  274 (-14)
1999   David Howell  275 (-13)
1998   José María Olazábal  269 (-19)
1997   Richard Green  272 (-16) PO
1996   Colin Montgomerie  270 (-18)
1995   Fred Couples  268 (-20)
1994   Ernie Els  268 (-20)
1993   Wayne Westner  274 (-14)
1992   Seve Ballesteros  272 (-16) PO
Emirates Airlines Desert Classic
1990   Eamonn Darcy  276 (-12)
Karl Litten Desert Classic
1989   Mark James  277 (-11) PO

Angalia pia hariri

Matukio mengine mawili ambayo ni sehemu ya Gulf Swing:

Viungo vya nje hariri