Ostspitze

(Elekezwa kutoka Dunantspitze)

Ostspitze (tangu 2014 huitwa Dunantspitze) ni mlima wa Alpi katika nchi ya Uswisi (Ulaya).

Kilele cha Ostspitze kati ya Grenzgipfel na Dufourspitze

Urefu wake ni mita 4,632 juu ya usawa wa bahari.

Mwaka wa 2014, wakati wa sherehe ya miaka 150 ya Msalaba Mwekundu, mlima wa Ostspitze ulipata jina jipya ili kumheshimu mwanzilishaji wa shirika hilo Henri Dunant, yaani jina la Dunantspitze.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ostspitze kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.