Dunstan A. Omari (9 Agosti 1922) alikuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa kwanza wa Tanganyika baada ya kupata Uhuru na wa Tanzania baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar[1]. Alihudumu kwenye nafasi hiyo tangu mwaka 1962 hadi 1964. [2]

Dunstan alikuwa mkuu wa wilaya wa kwanza kutawala eneo la wilaya ya Manyoni kuanzia mwaka 1958 hadi mwaka 1960 [3].

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dunstan A. Omary kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.