Düsseldorf
(Elekezwa kutoka Dusseldorf)
Düsseldorf ni mji mkuu wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Rhine. Idadi ya wakazi wake ni takriban 586,000. Mji ulianzishwa 1135.
Jiji la Düsseldorf | |||
| |||
Mahali pa mji wa Düsseldorf katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 51°14′0″N 6°47′0″E / 51.23333°N 6.78333°E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Rhine Kaskazini-Westfalia | ||
Idadi ya wakazi (2009) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 586.000 | ||
Tovuti: www.duesseldorf.de |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Düsseldorf kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |