Dwight Yorke (alizaliwa 3 Novemba 1971) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Trinidad na Tobago na klabu ya Manchester United aliyekuwa anacheza katika nafasi ya mshambuliaji.

Dwight Yorke.

Yorke aliichezea Manchester United kuanzia mwaka 1998 hadi 2002.

Alistaafu soka mwaka 2011.

Kwa sasa ni kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Trinidad na Tobago.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dwight Yorke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.