ECOWAS/CEDEAO ni kifupisho cha Economic Community of West African States (kwa Kifaransa: Communauté Économique des États de l'Afrique de l'Ouest) yaani Jumuia ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi.

Ilianzishwa tarehe 28 Mei 1975.

Kwa sasa inaunganisha nchi 15.

Viungo vya nje hariri