Edgar Stiles
Edgar Stiles ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Louis Lombardi.
Edgar Stiles | |
---|---|
muhusika wa 24 | |
Louis Lombardi kama Edgar Stiles | |
Imechezwa na | Louis Lombardi |
Idadi ya sehemu | 37 |
Hali | Deceased |
Misimu | 4, 5 |
Maelezo | |
Familia | Lucy Stiles |
Katika uhusika
haririEdgar alikuwa na uzoefu kama Mtambuzi na Mnyambuzi wa mashine za CTU na vilevile alikuwa meneja wa uangalizi. Ana digrii ya Computer Science aliyoipatia katika Chuo Kikuu cha New York.[1]
Edgar alifahamika sana kwa kazi yake ya kuhifadhi picha za matukio[2], na alikuwa rafiki wa karibu wa mtaalam Chloe O'Brian, ambaye alikuwa akimsifia kuwa ni "mtu muzuri".[3]
Marejeo
hariri- ↑ "FOX Broadcasting Company: 24". FOX 24. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-09-14. Iliwekwa mnamo 2008-07-08.
- ↑ "12:00 AM - 1:00 AM". Writer: Joel Surnow Director: Jon Cassar. 24. 2005-04-18. No. 90, season 4.
- ↑ "11:00 PM - 12:00 AM". Writer: Peter Lenkov Director: Jon Cassar. 24. 2005-01-17. No. 77, season 4.
Viungo vya Nje
hariri- Character biography Ilihifadhiwa 29 Januari 2009 kwenye Wayback Machine. on the official 24 website