Msimu wa Nne (pia unajulikana kama Siku ya 4) ya mfululizo wa televisheni wa 24 ulioanza kurushwa hewani mnamo tar. 9 Januari 2005 na kipengele cha mwisho kuishia 23 Mei 2005.

Msimu wa 4 wa 24

Jack Bauer na Audrey Raines
Nchi asilia Marekani
Mtandao Fox Broadcasting Company
Iko hewani tangu 9 Januari 2005 – 23 Mei 2005
Idadi ya sehemu 24
Tarehe ya kutolewa DVD 6 Desemba 2005
Msimu uliopita Msimu 3
Msimu ujao Msimu 5

Mstari wa hadithi ya msimu wa nne inaanza na kuisha saa 1:00 Asubuhi.

Kipande cha kwanza cha dakika 10 kilikuwa kinapatikana hata katika DVD ya msimu wa tatu. Msimu ulianza kutangazwa kupitia Sky One nchini Uingereza kabla ya kuanza kuonyeshwa nchini humo. Pia DVD ya msimu wa nne ilikuwa ikipatika nchini Uingereza.

Muhtasari wa Musimu

hariri

Msimu wa Nne (2005) ni seti ya miezi 18 baada ya Msimu wa Tatu. Jack sasa hivi anafanyakazi kwa Waziri wa Ulinzi James Heller baada ya kufukuzwa kazi katika CTU kwa kufuatia matumizi yake ya heroini.

Kama jinsi siku inavyooanza, amepata kujua maelezo ya njama za kigaidi ambazo zinahusisha watu wawili na binti wa Heller, Audrey Raines, aliyechanga kazi mbili kwa pamoja, yaani, yeye ni kiongozi wa usaidizi wa sera za baba yake na vilevile ni mwandani wa Jack. Jack anarejeshwa kazini akiwa Mkurugenzi wa CTU Mapambanoni na Erin Driscoll, Mkurugenzi Mkuu wa CTU na ndiye yeye aliyemfukuza kazi, ambaye aligundua ilikuwa kosa kumwondosha kazini hapo mwanzoni.

Hii iko tofauti na misimu iliyopita, ambayo ilikuwa ikilenga juu ya tishio moja, maadui wengi, na njama nyingi, msimu huu umeegemea juu ya adui mmoja tu mkubwa: gaidi mwenye jina la Habib Marwan ambaye anashikilia mifulizo ya vikundi vya kigaidi vya Kimashariki ya Kati juu ya mashambulio yao ya kigaidi dhidi ya Marekani. Hii ilikuwa kama ajali tu; Marwan alidhamiliwa aonekane katika vipengele sita tu, lakini watayarishaji walivutiwa na kazi ya Arnold Vosloo hivyo Marwan akawa ndiyo adui mkuu wa mfululizo.

Siku ya 4 pia unachukua sura tofauti katika kuhadithia kwake. Dogo kuliko vipengele vikubwa viwili, msimu huu umegawanyika katika vifungu vidogo kadhaa vinavyotegemea na kile Marwan alichosema anaibukanacho.

  1. Kutekwanyala na mpangao wa kutanga kwa kunyongwa kwa Waziri wa Ulinzi.
  2. Viwanda vya umeme vinavyotumia nguvu ya nyuklia vya Amerika vinalazimika kufungwa kwa kufuatia tishio la kigaidi.
  3. Magaidi wameiba ndege ya kivita ili kuilipua ndege ya rais, Air Force One.
  4. Jack na Marwan wanashindana kupata mkoba wenye kodi za kuruhusu bomu la nyuklia.
  5. Magaidi wameiba na kuachia shambulio la bomu la nyuklia.

Njama kubwa na ndogo

hariri

Wahusika

hariri

Wakati msimu huu unaanza, kila muhusika aliyeoneakana katika msimu wa tatu alikuwa hayupo kasoro Jack Bauer, Rais Keeler (mpinza wa Palmer wa chama cha Republican katika msimu wa 3), na Chloe O'Brian. Hata hivyo, wakati msimu unaendelea kuonyesha kurudi kwa wahusika wengine kama vile Tony Almeida, Michelle Dessler, Mike Novick, David Palmer, Aaron Pierce, na hata Mandy, mwuaji wa msimu wa 1 na 2.

Msimu wa Nne umeleta wahusika wapya kadhaa. Mmoja kati ya wahusika wapya, Erin Driscoll, inamhusisha hadithi ya binti yake mwenye matatizo ya kisaikolojia. Binti wa Driscoll, Maya, ameishia akiaonekana kajiua. Na inatokea, Driscoll anaondoka CTU.


Mstaa

Mstaa Wageni Maalumu

Mgeni Maalumu Alionekana

Walionekana tena


Hii ni orodha ya wahusika wakuu wa Msimu wa 4. Tazama hapa kwa orodha iliyokamili.

Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri