Edith Eduviere

mchezaji wa soka wa kike wa Nigeria

Edith Eduviere (alizaliwa 18 Juni 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye anacheza kama kiungo. Alikuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Nigeria katika michezo ya Olimpiki mwaka 2008. [1][2]

Edith Eduviere
Amezaliwa 18 Juni 1986
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaj wa mpira wa miguu

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edith Eduviere kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.