Eduardo Braide(alizaliwa Januari 12, 1976) ni wakili na mwanasiasa wa Brazil. Alikuwa rais wa Caema kuanzia mwaka (2005 hadi mwaka 2006) na katibu wa Bajeti Shirikishi tangu mwaka(2009 hadi mwaka 2010). Braide ni naibu wa shirikisho la Maranhão na alikuwa mgombea wa meya wa São Luís.[1]

Eduardo Braide

Marejeo hariri

  1. "Biography of Eduardo Braide (PMN)". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-30. Iliwekwa mnamo 2023-07-02. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eduardo Braide kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.