Efianwan Ekpo (alizaliwa 25 Januari 1984) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria. Ekpo alishiriki katika Kombe la Dunia la mwaka wa 2003, Olimpiki katika majira ya joto mnamo mwaka 2004 na 2008, ubingwa wa Afrika wa mwaka 2006 na Kombe la Dunia la mwaka 2007. [1][2]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Efioanwan Ekpo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.