Ei-ichi Negishi (amezaliwa 14 Julai, 1935) ni mwanakemia kutoka nchi ya Japani. Hasa alichunguza usanisi kaboni. Mwaka wa 2010, pamoja na Richard Heck na Akira Suzuki, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Ei-ichi Negishi
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ei-ichi Negishi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.