Richard Frederick Heck (15 Agosti, 193110 Oktoba, 2015) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usanisi kaboni. Mwaka wa 2010, pamoja na Ei-ichi Negishi na Akira Suzuki, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Richard Heck
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Heck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.