El Kenissia ni sehemu nchini Tunisia, Afrika ya Kaskazini.

Dola la Roma mwaka 37 BK.

El Kenissia upo kilomita 6 kusini mwa Hadrumetum na unajulikana kwa magofu ya Civitas Pophtensis, yanayojumuisha hekalu, ambalo lilichimbuliwa na Wafaransa na ikatumika kama ukumbi na Waroma.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu El Kenissia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.