Eleuteri
Eleuteri ni jina la kiume. Pengine linaandikwa kifupi kwa kuacha herufi ya kwanza: Leuteri, au kwa kufuata matamshi ya Kiingereza: Eliuta.
Mwanamke anaweza kuitwa: Eleuteria.
Asili
haririLinatokana na jina la lugha ya Kigiriki Eleutherios, linalofuata kivumishi eleutheros: huru. Kwa Kilatini ni Eleutherius.
Kati ya watu walioitwa hivi, maarufu zaidi ni Papa Eleuteri, anayeheshimiwa kama mtakatifu hasa tarehe 26 Mei. Lakini kuwa watakatifu wengine 10 wenye jina hilo, mbali na watu wengine wengi.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |