Eleuteri wa Tournai

Eleuteri wa Tournai (456 hivi – 531 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa Tournai, leo nchini Ubelgiji[1], kuanzia mwaka 484 akijitahidi kufanya wakazi na wavamizi Wapagani waongokee Ukristo[2].

Mt. Eleuteri akibatiza watu wazima.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Februari[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.