Tuzo Nobel.png
Elias Canetti
Kaburi ya Elias Canetti

Elias Canetti (25 Julai 190514 Agosti 1994) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Bulgaria. Baadaye aliishi nchini Uingereza. Aliandika riwaya na pia tamthiliya; aliandika maandishi yake yote katika lugha ya Kijerumani. Mwaka wa 1981 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elias Canetti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.