Elizabeth Mataka
Mwanaharakati wa
Elizabeth Mataka alikuwa mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu VVU / UKIMWI barani Afrika: aliteuliwa tarehe 21 Mei 2007 na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, kuchukua nafasi ya Stephen Lewis. Alihudumu katika nafasi hiyo hadi 13 Julai 2012.
Elizabeth Mataka ni raia wa Botswana na mkazi wa Zambia. Aliwahi kuwa makamu mwenyekiti wa bodi ya Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria.
Tanbihi
haririMarejeo
hariri- Heartfield, Kate. "A new voice for AIDS in Africa", Ottawa Citizen, 12 June 2007, p. A12.
Viungo vya nje
hariri- Secretary-General Appoints Elizabeth Mataka, United Nations, 21 May 2007
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Elizabeth Mataka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |