Ellesmere (jina la Kifaransa; kwa Kiinuit: Umingmak Nuna) ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Nunavut (Kanada).

Ellesmere Island na visiwa vya jirani vikiwemo Axel Heiberg (kushoto) na Greenland (kulia).

Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 196,235, ila wakazi 191 tu. Ni kisiwa kikubwa cha Visiwa vya Malkia Elizabeth.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ellesmere kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.