Emiliano Díaz Brienza (alizaliwa 9 Mei 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Mexico ambaye anacheza kama mshambuliaji. Ameitwa katika timu ya taifa ya wanaume walio chini miaka 17 ya Kanada, lakini hajawahi kucheza kwa niaba ya Kanada.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Coquitlam midfielder boots his way to U17 World Cup". Tri-City News.
  2. "Emiliano Brienza | Vancouver Whitecaps". whitecapsfc.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emiliano Brienza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.