Emmanuel Petit
Mchezaji mpira wa Ufaransa
Emmanuel Laurent Petit (alizaliwa 22 Septemba 1970) ni mchezaji wa zamani wa Ufaransa ambaye alicheza kama kiungo kwenye klabu ya Monaco, Arsenal, Barcelona F.C. na Chelsea F.C..
Aliwakilisha Ufaransa katika ngazi za kimataifa katika michuano miwili vya Dunia ya FIFA na michuano miwili ya UEFA, alifunga bao la tatu katika ushindi wa 3-0 wa Ufaransa katika mchuano wa mwisho wa Kombe la Dunia 1998 na pia alikuwa mwanachama wa kikosi cha Ufaransa ambacho kilishinda UEFA Euro 2000.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Emmanuel Petit kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |