Enzo Perez (alizaliwa tarehe 22 Februari mwaka 1986) ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anacheza kama kiungo wa kati katika klabu ya River River iliyopo nchini Argentina na timu ya taifa ya Argentina.

Enzo Perez

Timu hariri

Benfica hariri

Alicheza miaka minne katika klabu ya Benfica iliyopo nchini Ureno, ambapo alishinda nyara tano hasa ndani ya msimu wa 2013-14, na kufikia fainali mbili za mechi za UEFA Europa League.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Enzo Perez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.