Eric Gordon

Mchezaji wa mpira wa kikapu wa Marekani


Eric Ambrose Gordon Jr. (amezaliwa 25 Desemba 1988)[1] ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea nchi ya Marekani anachezea timu ya Los Angeles Clippers katika Chama cha mpira wa Kikapu Marekani (NBA). Akiwa shule ya sekondari, alipewa jina la "Mr. Basketball" wa Indiana wakati wa mwaka wake wa mwisho wa masomo alipokuwa akicheza katika Shule ya sekondari ya North Central. Kwa sehemu, anajulikana, kwa ushindani uliokuwepo wa kuajiriwa kwake kati ya Chuo Kikuu cha Illinois na Chuo Kikuu cha Indiana katika majira ya joto ya mwaka 2006; kwa sababu ya talanta ya Gordon na kiwango cha juu cha uchezaji wake mwaka huo, kuajiriwa kwake ilikuwa mada ya kutangazwa kwenye vyombo vya habari (media).

Eric Gordon

Marejeo

hariri
  1. "Eric Gordon Stats, Height, Weight, Position, Draft Status and more". Basketball-Reference.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 25 Desemba 2023.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eric Gordon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.