Erick Mutai

Mwanasiasa wa Kenya

Erick Mutai (alizaliwa 28 Desemba 1983) ni mwanasiasa wa Kenya na msomi kutoka chuo kikuu cha Embu, gavana mteule katika kaunti ya Kericho, Kenya. Erick Mutai ni mwanachama wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) na mhitimu wa Chuo Kikuu cha Maseno na chuo kikuu cha Kabianga.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Meet Erick Mutai, the man who fell political giants in Kericho".