Embu
Embu ni mji wa Kenya upande wa kusini-mashariki wa Mlima Kenya. Umbali na Nairobi ni km 120. Embu ni makao makuu ya Kaunti ya Embu.
Embu | |
Mahali pa mji wa Embu katika Kenya |
|
Majiranukta: 0°32′0″S 37°27′0″E / 0.53333°S 37.45000°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Embu |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 60,673 |
Mji uko kwenye kimo cha mita 1,350 juu ya UB. Uliundwa na walowezi Waingereza mnamo mwaka 1906.
Wakazi walikuwa 60,673 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].
Kuna asilimia kubwa ya watumishi wa serikali hapa wanaofanya kazi kwenye ofisi na shule nyingi zilizopo.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.