Kaunti ya Kericho ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Ramani ya Kaunti ya Kericho, Kenya

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 901,777 katika eneo la km2 2,436.1, msongamano ukiwa hivyo wa watu 370 kwa kilometa mraba[1]. Makao makuu yako Kericho.

Utawala hariri

Kaunti ya Kericho imegawanywa katika maeneo bunge yafuatayo[2]:

Eneo bunge Kata
Ainamoi Kapsoit, Ainamoi, Kipchebor, Kapkugerwet, Kipchimchim, Kapsaos
Belgut Waldai, Kabianga, Cheptororiet/Seretut, Chaik, Kapsurer
Bureti Kisiara, Tebesonik, Cheboin, Chemosot, Litein, Cheplanget, Kapkatet
Kipkelion Magharibi Kunyak, Kamasian, Kipkelliom, Chilchila
Kipkelion Mashariki Londiani, Kedowa/Kimugul, Chepseon, Tendeno/Sorget
Sigowet-Soin Sigowet, Kaplerlartet, Soliat, Soin

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3] hariri

  • Belgut 145,072
  • Bureti 199,470
  • Kericho East 170,625
  • Kipkelion 122,530
  • Londiani 137,580
  • Soin Sigowet 126,500

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30. 
  2. http://countytrak.infotrakresearch.com/Kericho-county/
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.