Ernest Hemingway
(Elekezwa kutoka Ernest Miller Hemingway)
Ernest Miller Hemingway (21 Julai 1899 – 2 Julai 1961) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika riwaya, k.m. "Mzee na Bahari" (kwa Kiingereza The Old Man and the Sea) iliyotolewa mwaka wa 1952; akatuzwa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya hiyo mwaka wa 1953. Mwaka wa 1954 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. Alikufa alipokuwa akisafisha bunduki yake. Watu wanaendelea kujadili kama alijiua au kufa kwa ajali.
Ernest Hemingway | |
Amezaliwa | Ernest Miller Hemingway 21 Julai 1899 Illinois, Marekani |
---|---|
Amekufa | 2 Julai 1961 Idaho, Marekani |
Nchi | Marekani |
Ndoa | Elizabeth Hadley Richardson (1921–1927) Pauline Pfeiffer (1927–1940) Martha Gellhorn (1940–1945) Mary Welsh Hemingway (1946–1961) |
Watoto | Jack Hemingway, Patrick Hemingway, Gregory Hemingway |
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ernest Hemingway kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |