Ernest Napoleon

Mtayarishaji na muigizaji wa Urusi

Ernest Napoleon ni mwigizaji na mtayarishaji wa filamu wa Urusi mwenye asili ya Tanzania[1][2]

Historia

hariri

Ernest alizaliwa mjini Moscow Urusi ikiwa upande wa baba ni Mtanzania na mama Mrusi, Familia yake ilihamia Tanzania alipokuwa na umri wa miaka mitano.[3] aliishi Dar es Salaam, Tanzania kwa miaka 14 na Los Angeles kwa miaka 8, kwa sasa alihamia Stockholm Uswidi.[4]

Filmography

hariri
Mwaka Filamu Uhusika Aina Marejeo.
2015 Going Bongo Mtayarishaji mkuu, mwandishi, mwigizaji Filamu [5]
2017 Kiumeni Mtayarishaji mkuu, mwandishi, mwigizaji Filamu [6]
2022 Peponi Mtayarishaji, mwandishi, mwigizaji Filamu [7]
TBD Let No Man Know Mtayarishaji Filamu [8]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ernest Napoleon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.