Going Bongo
Filamu ya 2015
Going Bongo ni filamu ya vichekesho iliongozwa na Dean Matthew Ronalds na kutengenezwa na Brian Ronalds mnamo mwaka 2015.[1]
Nyota wa filamu hii ni Ernest Napnoleo akiwashirikisha Emanuela Galliussi, Nyokabi Gethaiga na Ashley Olds.
Mandhari ya filamu hii ni Los Angeles na Tanzania. [2]
Wahusika
hariri- Ernest Napoleon kama Dr. Lewis Burger
- Emanuela Galliussi kama Laura Carmenucci
- Ashley Olds kama Marina Kezerian
- Nyokabi Gethaiga kama Tina
- MacDonald Haule kama Bahame
- Mariam Peter kama Zola Mwandenga
- Evance Bukuku kama Kaligo
- Gabriel Jarret kama Brian Kaufman
- Jeff Joslin kama Perry Weiss
- Betty Kazimbaya kama Mama Mwandenga
- Ahmed Olotu kama Yazidi
- Robert Sisko kama Dr. Eliot Lerner
- Richard Halverson kama Cyril Flaws
- Maiz Lucero kama Dr. Trout
- Sauda Simba kama Rose
- Meredith Thomas kama Anne Lerner
- Milena Gardasevic kama Coco Banaloche
- Felix Ryan kama Armen
- Artem Belov kama Marvin
- Jaykesh Biharilal Rathod kama daktari wa kihindi
- Tasha Dixon kama Gwen Kaufman
- D.A. Goodman
- Lisa Goodman kama Aunt Tia
- Libertad Green
- Serdar Kalsin kama mjomba Hovan
- Amby Lusekelo
- Mzome Mahmoud kama Tende
- Robert McPhalen
- Maulidi Mfaume
- Tukise Mogoje kama Tende (voice)
- Casmir Mukohi dereva taksi
- Dennis Nicomede
- Abraham Ntonya dereva taksi
- Charles Onesmo
- Brian Ronalds Blossey Swanson
- Stephanie Ronalds Nkama nesi Stephanie
- Queen Victoria wa Sheba kama Ma
- Anthony Skordi Pop
- Patrick Stalinski kama Patrick Steel
- Sewell Whitney kama Bill
Marejeo
hariri- ↑ Going Bongo (2015) - IMDb (kwa American English), iliwekwa mnamo 2023-05-14
- ↑ mike_muakadi (4 Juni 2015). "Going Bongo (2015)". IMDb.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Going Bongo kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |