Esther Mwaikambo
Daktari wakike kutoka Tanzania
Esther Daniel Mwaikambo (alizaliwa mwaka 1940)[1] ni daktari wa nchini Tanzania aliyebobea katika tiba ya magonjwa ya watoto wadogo.
Esther Daniel Mwaikambo | |
---|---|
Alizaliwa | 1940 |
Nchi | Mtanzania |
Kazi yake | Daktari wa magonjwa ya watoto |
Anafanya kazi katika Chuo Kikuu cha Makumbusho ya Hubert Kairuki (The Hubert Kairuki Memorial University)[2].
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-26. Iliwekwa mnamo 2018-09-09.
- ↑ http://maternityafrica.org/professor-esther-mwaikambo/
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Esther Mwaikambo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |