Esther Okhae

mchezaji wa mpira wa miguu

Esther Ochae (alizaliwa 12 Machi 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Nigeria ambae anacheza kama golikipa wa timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria. Alishiriki na timu yake ya taifa katika Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 2003.[1]

Marejeo hariri

  1. FIFA Women's World Cup USA 2003 - Technical Report (PDF). FIFA Women's World Cup United States 2003. FIFA (2003). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-12-26. Iliwekwa mnamo 2007-09-28.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Esther Okhae kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.