Etienne Leroux
Mwandishi wa Afrika Kusini
Etienne Leroux (jina la asili Stephanus Le Roux, 13 Juni 1922 - 30 Desemba 1989) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Hasa aliandika riwaya kwa lugha ya Kiafrikaans.
Maandishi yake Edit
- Seven Days at the Silbersteins (1964)
- The Third Eye (1966)
- One for the Devil (1968)
- Magersfontein, O Magersfontein (1976)
Angalia pia Edit
Marejeo Edit
- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Etienne Leroux kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |