Exequiel Palacios

Mchezaji wa mpira wa miguu wa chama cha Argentina

Exequiel Alejandro Palacios (alizaliwa 5 Oktoba 1998)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Argentina, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Argentina.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Exequiel Palacios kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.