Eyob Faniel alizaliwa Novemba 26, 1992) ni mzaliwa wa Eritrea, ni mwanariadha wa mbio ndefu aliyeshinda medali ya fedha kwenye michezo ya Mediteranea mwaka 2018. Anashikilia rekodi ya taifa kwenye marathoni kwa muda wa 2:07:19, aliyowekwa februari 2020 kwenye marathoni ya Seville 2020.[1] Alishindana kwenye olimpiki ya majira ya joto 2020 katika marathoni.[2]

Eyob Faniel
Eyob Faniel

Wasifu hariri

Alizaliwa Eritrea, akaja Italia mwaka 2004, aliasiliwa mwaka 2015 akiwa na miaka 23.[3]

Mwaka 2019, alishindana kwenye marathoni ya wanaume kwenye michuano ya riadha ya dunia 2019 iliyofanyika Doha, Qatar. Alimaliza akishika nafasi ya 15.[4]

Rekodi za kitaifa hariri

Nusu marathoni: 1:00:07 ( Siena, 28 February 2021) – anaishika mpaka sasa.[5]

Marathoni: 2:07:19 ( Seville, 23 February 2020) - anaishika mpaka sasa.[6]

Ubora binafsi hariri

·        Nusu marathoni: 1:00:07,  Siena, 26 Januari 2020.[7]

·        Marathoni: 2:07:19,  Seville, 23 Februari 2020

Marejeo hariri

  1. Холево, Александр Семенович; Holevo, Alexander Semenovich (2018). Lektsionnye Kursy NOC 30. ISSN 2226-8782. doi:10.4213/book1730 http://dx.doi.org/10.4213/book1730.  Missing or empty |title= (help)
  2. Polak-Rottmann, Sebastian (2020-04-23), "Security for the Tokyo Olympics", Japan Through the Lens of the Tokyo Olympics (Routledge): 130–135, iliwekwa mnamo 2021-10-05 
  3. Bion, Wilfred R. (2018-05-08), "Rome, 8 July 1977", The Italian Seminars (Routledge): 1–14, iliwekwa mnamo 2021-10-05 
  4. "Companion October 2019: full issue PDF". BSAVA Companion 2019 (10): 1–35. 2019-10-01. ISSN 2041-2487. doi:10.22233/20412495.1019.1. 
  5. Altissimi, Elisa (2021-06-11). "Ci vediamo alla mezza?". XVII, 2021/2 (aprile-giugno) (1). ISSN 2532-9006. doi:10.35948/2532-9006/2021.9556. 
  6. Gemin, Marco (2020-01). "Mimn., fr. 11 West e Eur., Med. 1-10". Giornale Italiano di Filologia 72: 19–23. ISSN 0017-0461. doi:10.1484/j.gif.5.121452.  Check date values in: |date= (help)
  7. Lazarevich, Gordana (2002). Barbiere di Siviglia, Il (i). Oxford Music Online. Oxford University Press.