Fırat Kaya
Fırat Kaya (amezaliwa 2 Januari 1995) ni mwanasoka wa Kituruki mzaliwa wa Ujerumani na mwanachama wa timu ya taifa ya Uturuki ya viziwi katika soka .[1] [2]
Maisha binafsi
haririFırat Kaya alizaliwa na wazazi wenye asili ya Kituruki,Yıldırım na Sevg, kama mtoto wa mwisho kati ya watoto wawili huko Schwäbisch Hall, ujerumani. Kaya alipoteza uwezo wa kusikia na kuanza kucheza soka akiwa na umri mdogo. [3]
Marejeo
hariri- ↑ "9th European Deaf Football Championships 2019 - Heraklion/GRE" (PDF). Deaflympics. Iliwekwa mnamo 6 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "İlk işitme engelli futbolcu olan Fırat Kaya kimdir?", 5 March 2019. Retrieved on 6 October 2021. (tr)
- ↑ "Türkiye'nin işitme engelli ilk profesyonel futbolcusu: Fırat Kaya", 2 March 2019. Retrieved on 6 October 2021. (tr)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fırat Kaya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fırat Kaya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |