Face to Face
Face to Face ilikuwa albamu ya saba kutoka kwa kundi la Kiireland la Westlife. Albamu ilitolewa tar. 31 Oktoba 2995. Pamoja na nyimbo nyingine, lakini albamu hii ina nyimbo nyingi zenye miondoko ya pop. Single ya kwanza katika albamu hii, ni wimbo wa kurudiwa wa kundi la Secret Garden ulioitwa You Raise Me Up. Single hii ndiyo iliyolirudisha kundi hili katika nafasi nzuri kimuziki baada ya albamu ya Allow Us to Be Frank ya mwaka 2004 kushindwa kufanya vizuri.Single ya pili pia ilikuwa ni ya kurudiwa, wimbo wa "When You Tell Me That You Love Me" wimbo kutoka kwa Diana Rose. Single ya tatu na ya mwisho ilikuwa wimbo wa Amazing wimbo kutoka kwa Westlife wenyewe.
Face to Face | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album ya Westlife | |||||
Imerekodiwa | 2005 | ||||
Aina | Pop | ||||
Urefu | 44:38 | ||||
Lugha | English | ||||
Lebo | Sony BMG, RCA | ||||
Mtayarishaji | Andreas "Quiz" Romdhane, Josef Larossi, David Kreuger, Per Mangusson (track 2) Carl Falk (tracks: 3, 7, 10) (tracks: 1, 4 to 6, 8, 9, 11) |
||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Westlife | |||||
|
|||||
Single za kutoka katika albamu ya Face To Face | |||||
|
Wimbo wa "That's Where You Find Love" ulitoka kwa ajili ya redio za nchini Ufilipino kwa jili ya kutangaza tamasha la kundi hili lililoitwa Face To Face Tour lilifanyaka mwaka 2006. Wimbo wa "Hit You With The Real Thing" ukiendelea kufanya vizuri katika chati mbalimbali nchini New Zealand katika kutangaza tamasha lao la Back Home Tour lililofanyika mwaka 2008. Albamu hii ilijumuisha nyimbo za kurudiwa kama vile, wimbo kutoka kwa kundi la The Eagles wimbo wa Desperado pamoja na wimbo kutoka kwa kundi la Backstreet Boys ambao upo katika albamu yao ya mwaka 2005 Neve Gone . Pia wimbo wa Colour My World' wa Nick Carter, na "Heart Without A Home".
Albamu ya "Face to Face" kutoka kwa Westlife ilikuwa ni albamu ya tano kutoka kwa kundi hili kuwahi kufika katika nafasi ya kwanza katika kipindi cha miaka saba, na kufanikiwa kuuza nakala zaidi ya milioni 1.3 nchini Uingereza na kuuza nakala milioni 6, dunia nzima. Albamu hii ilishika nafasi ya #7 na nafasi #129 nchini Uingereza katika chati ya mwisho wa mwaka kwa mwaka 2005, na mwaka 2006 hivyo hivyo.Pia albamu inayoongoza katika albamu zilizotengenezwa katika studio za Sony BMG Entertainment kwa mwaka 2005. Albamu hii ilishikaanafasi ya #1 katika chati ya nchini Australia ya ARIA kwa kipindi cha wiki nne, hii ikiwa ni mwezi Machi mwaka 2006. na pia ilishika nafasi ya 25 katika albamu zilizoongoza kwa mauzo nchini Australia kwa mwaka 2006
Habari za Albamu
haririOrodha ya nyimbo
haririWimbo No. |
Title | Wafanyakazi | Urefu |
---|---|---|---|
1 | "You Raise Me Up" |
Arranged By [Orchestra]: |
4:03 |
2 | "When You Tell Me That You Love Me" |
Arranged By: |
3:58 |
3 | "Amazing" |
Backing Vocals [Additional]: |
2:53 |
4 | "That's Where You Find Love" |
Engineer [Strings Assistant]: |
3:47 |
5 | "She's Back" | Written By: Steve Mac Jorgen Elofsson |
3:13 |
6 | "Desperado" | Written By: Don Henley Glenn Frey |
3:40 |
7 | "Colour My World" |
Acoustic Guitar, Guitar: |
3:56 |
8 | "In This Life" | Written By: Mike Reid Allen Shamblin |
4:10 |
9 | "Heart Without a Home" | Written By: Steve Mac Wayne Hector |
4:50 |
10 | "Hit You With the Real Thing" |
Backing Vocals [Additional]: |
3:03 |
11 | "Change Your Mind" |
Arranged By [Brass]: |
3:45 |
12 | "Maybe Tomorrow"A |
Produced By: Carl Falk |
3:09 |
13 | "World Of Our Own (Acoustic Version)"B |
Acoustics provided by Wayne Oulson |
3:28 |
14 | "Flying Without Wings (Acoustic Version)"B |
Acoustics provided by Wayne Oulson |
3:35 |
15 | "My Love (Acoustic Version)"B |
Acoustics provided by Wayne Oulson |
3:52 |
Ukumbuso
A "Maybe Tomorrow" ulijumuishwa katika albamu za Uingereza, Ireland na Korea ya Kusini.
B Nyimbo za akustika zilijumuishwa katika toleo la nchini Japan
Wafanyakazi
hariri
|
|
Chati
haririNchi | Ilipata nafasi |
Certification |
---|---|---|
Australia[1] | 1 | Platinum[2] |
Ireland[3] | 1 | 8xPlatinum[4] |
Ufalme wa Muungano[5] | 1 | 4xPlatinum[6] |
Norway[7] | 7 | - |
Sweden[8] | 9 | - |
Switzerland[9] | 14 | - |
Ujerumani[10] | 18 | - |
Denmark[11] | 19 | - |
Netherlands | 30 |
Face to Face Tour 2006
haririHIii ni ziara ya tano ya Kunidi la Westlife. Walijiwekea malengo ya kufanya matamasha katika viwanya vidogo vidogo ili kuonesha uhalisia wa jina lenyewe la tamasha "Face To Face" likimaanisha Uso Kwa Uso
Marejeo
hariri- ↑ Australian Album Chart
- ↑ ARIA CHART
- ↑ Irish album chart
- ↑ Irish music certification awards
- ↑ British official album chart
- ↑ UK BPI awards
- ↑ Norwegian Official Album Chart
- ↑ Swedish Album Chart
- ↑ Switzerland Official Album Chart
- ↑ Germany album chart
- ↑ "Denmark Official Album Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-16. Iliwekwa mnamo 2010-01-19.
Viungo vya nje
haririJua habari zaidi kuhusu Westlife kwa kutafuta kupitia mradi wa Wikipedia Sister | |
---|---|
Uchambuzi wa kamusi kutoka Wikamusi | |
Vitabu kutoka Wikitabu | |
Dondoo kutoka Wikidondoa | |
Matini za vyanzo kutoka Wikichanzo | |
Picha na media kutoka Commons | |
Habari kutoka Wikihabari | |
Vyanzo vya elimu kutoka Wikichuo |