Familia nyuklia (kwa Kiingereza nuclear family, elementary family au conjugal family[1][2]) ni familia iliyoundwa na wazazi wawili na watoto wao[3].

A man, woman, and two children smiling outside of a house
Familia nyuklia ya Marekani mwaka 1955 hivi.

Ni tofauti na familia pana, inayohusisha ndugu wengi wa wazazi, na aina nyingine za familia[4].

Tanbihi Edit

Viungo vya nje Edit

  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Familia nyuklia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.