Fardosa Ahmed
Daktari wa Kenya, mjasiriamali na msimamizi wa afya
Dokta Fardosa Ahmed alizaliwa mwaka 1985 nchini Kenya ni mjasiriamali, msimamizi wa afya, ambaye anahudumu kama afisa mkuu wa utendaji katika Hospitali ya Premier, Mombasa, kituo binafsi cha afya ambacho yeye ndye muanzilishi na mmiliki.[1]
Elimu
haririAlisomea Shule ya Msingi Makini, jijini Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Kisha alihamia Shule ya Loreto Convent Valley Road, jijini Nairobi, ambako alihitimu stashahada ya Shule ya Upili. Kisha alijiunga katika Chuo Kikuu cha Nairobi, ambako alisomea udaktari wa binadamu, na kuhitimu Shahada ya Udaktari na Upasuaji.[2] Baadaye alipata stashahada ya uzamili katika usimamizi wa afya.[3]
Marejeo
hariri- ↑ https://www.businessdailyafrica.com/corporate/enterprise/Doctor-targets-foreign-bound-patients/4003126-5170032-cmckvz/index.html
- ↑ https://www.businessdailyafrica.com/corporate/enterprise/Doctor-targets-foreign-bound-patients/4003126-5170032-cmckvz/index.html
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-09-29. Iliwekwa mnamo 2022-08-11.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fardosa Ahmed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |