Fatuma Issa Maonyo
Mchezaji wa mpira wa miguu Tanzania
Fatuma Issa Maonyo, (alizaliwa tarehe 9 Aprili 1995), ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Tanzania, ambaye anacheza kama beki kwenye klabu ya Simba Queens, na Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania.[1].
Fatuma Issa Maonyo | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Tarehe ya kuzaliwa | 9 Aprili 1995 | |
Mahala pa kuzaliwa | Tanzania | |
Nafasi anayochezea | Beki | |
Timu ya taifa | ||
Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania | ||
* Magoli alioshinda |
Ushiriki Kimataifa
haririMnamo Julai 2018, Maonyo alishinda ubingwa wa Kombe la CECAFA la Wanawake 2018 akiwa katika Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania baada ya kuishinda Ethiopia kwa mabao 4-1 katika mechi yao ya mwisho. Pia alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashindano hayo.[2][3][1]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 Saddam, Mihigo. "CECAFA WOMEN 2018: Tanzania yatwaye igikombe ku nshuro ya kabiri yikurikiranya-AMAFOTO – Inyarwanda.com". inyarwanda.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-02-27.
- ↑ Isabirye, David (2018-07-28). "Tanzania humbles Ethiopia to win 2018 CECAFA Women title". Kawowo Sports (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-02-26.
- ↑ Myaluko, Elbogast (28 Julai 2018). "Fatuma Issa wa Kilimanjaro Queens kwenda Ulaya". East Africa Television. Iliwekwa mnamo 26 Februari 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fatuma Issa Maonyo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |