Faza

Kisiwa cha Lamu

Faza ni kata ya kaunti ya Lamu, eneo bunge la Lamu Mashariki, mashariki mwa Kenya[1].

Historia

hariri

Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kaskazini ya Kenya kwenye Bahari ya Hindi.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri