Kaunti ya Lamu

Kaunti ya Lamu ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Kaunti ya Lamu ni mojawapo ya kaunti za pwani. Inapakana na Kaunti za Garissa na Tana River. Pia inapakana na Jamuhuri ya Shirikisho la Somalia na Bahari Hindi. Makao makuu yako katika Lamu.

Kaunti ya Lamu
Kaunti
Lamu, Lamu Island, Kenya.jpg
Kisiwa cha Lamu
Lamu County in Kenya.svgLamu County in Kenya.svg
Kaunti ya Lamu katika Kenya
NchiFlag of Kenya.svg Kenya
Namba5
IlianzishwaTarehe 4 Machi, 2013
Ilitanguliwa naMkoa wa Pwani
Makao MakuuLamu
Miji mingineMkomani, Hindi, Hongwe, Bahari, Witu, Faza, Kiunga, Basuba
GavanaFahim Yasin Twaha
Naibu wa GavanaAbdulhakim Aboud Bwana
SenetaAnwar Loitiptip
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa)Ruweida Mohamed Obo
Bunge la KauntiBunge la Kaunti ya Lamu
Eneo6,273.1 km2 (2,422.1 sq mi)
Idadi ya watu101,539 [1]
Kanda mudaSaa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovutilamu.go.ke

UtawalaEdit

Imegawanyika katika wilaya mbili: Lamu Magharibi na Lamu Mashariki.

Maeneo ya Lamu
Eneo Bunge Wadi
Lamu Magharibi Shella, Mkomani, Hindi, Mkunumbi, Hongwe, Bahari, Witu
Lamu Magharibi Faza, Basuba, Kiunga

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Kenya Census 2009. Scribd.com. Iliwekwa mnamo 2013-12-10.