Fazila Ikwaput
Mwanasoka wa Uganda
Fazila Ikwaput (alizaliwa 5 agosti 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uganda,anaechezea klabu ya Lady Doves na timu ya taifa wanawake nchini uganda.
Maisha ya Klabu
haririIkwaput katika raundi ya mwisho ya Ligi ya Wanawake wa India ya 2017–18 alichezea Gokulam Kerala FC na aliifungia timu yake mabao 5. Na katika mwaka huo huo alikuwa mwanasoka wa kwanza wa kike wa Uganda kucheza katika Hatua ya Makundi ya UEFA Champions League na klabu ya Kazakhstan BIIK Kazygurt.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fazila Ikwaput kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |